Rais Dkt. Samia amezindua Minara ya Kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini ya Azam Media.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Minara ya Kurusha matangazo ya Televisheni Ardhini (DTT) ya Kampuni ya Azam Media Ld, leo Mei 18, 2023 jijini Dar es Salaam.